sw_tn_fork/pro/29/23.md

13 lines
265 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwenye roho ya unyenyekevu atapewa heshima
"Yahwe atasababisha watu kumheshimu mwenye roho ya unyenyekevu"
# huyachukia maisha yake mwenyewe
"huwa na uadui kwake mwenyewe"
# husikia laana na hasemi kitu
"hasemi neno hata baada ya watu kutoa laana juu yake"