forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
639 B
Markdown
13 lines
639 B
Markdown
|
# Maelezo ya jumla
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli.
|
||
|
|
||
|
# Ikiwa watu wa hema yangu hawajasema,' Nani aweza kumpata mtu ambaye hayashibishwa na chakula cha Ayubu?
|
||
|
|
||
|
"Watu wangu siku zote wamekuwa na uwezo wa kusema,"Kila mtu tunayemjua amekula chakula kingi cha Ayubu kama alivyotaka' Kama hayo hayakuwa ya kweli,"
|
||
|
|
||
|
# hata mgeni hajawahi kukaa katika pembe ya mji, kwa kuwa siku zote nimefungua milango yangu kwa ajili ya wasafiri
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaelezea jinsi ambayo aliwatendea wageni."Wageni hawakuwahi kulala mitaani. Mara zote niliwakaribisha nyumbani kwangu"
|
||
|
|