forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
614 B
Markdown
17 lines
614 B
Markdown
|
# Yahwe aliwafanya watu wake kuzaliana
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anazungumza juu ya ongezeko la Israeli kana kwamba walikuwa mmea ambao ulizaa matunda mengi. "Mungu aliongeza idadi ya watu wake sana"
|
||
|
|
||
|
# kuwachukia watu wake, kuwatendea vibaya watumishi wake
|
||
|
|
||
|
"kuchukia watu wake na kuwatendea vibaya watumishi wake"
|
||
|
|
||
|
# Walitelekeza ishara zake ... maajabu yake katika nchi ya Hamu
|
||
|
|
||
|
Misemo hii miwili ina maana moja na inatumika pamoja kwa ajili ya msisitizo. "Musa na Haruni walitekeleza miujiza ya Yahwe Misri miongoni mwa vizazi wa Hamu"
|
||
|
|
||
|
# maajabu yake
|
||
|
|
||
|
Maneno ambayo haypo yanaweza kuongezwa. "na wakatekeleza maajabu yake"
|
||
|
|