forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
465 B
Markdown
13 lines
465 B
Markdown
|
# mwamba wa nguvu yangu na kimbilo langu liko katika Mungu
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni mwamba unaomlinda mtu dhidi ya adui zake. Anamzungumzia Mungu pia kana kwamba ni kivuli kinachotoa ulinzi. "Mungu huwa ananipa nguvu na ulinzi"
|
||
|
|
||
|
# mwaga moyo wako
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha kumwambia Mungu hisia zako za ndani kana kwamba ni kumwaga kimiminiko. "mpe Mungu mawazo yako ya ndani"
|
||
|
|
||
|
# kimbilio letu
|
||
|
|
||
|
Neno "letu" linamaanisha Daudi na watu anaozungumza nao.
|
||
|
|