sw_tn_fork/phm/01/17.md

25 lines
823 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kama unanichukulia kama mshiriki
"kama wewe unanidhania mimi mtenda kazi wa Kristo"
# unidai mimi malipo
"malipo yatatoka kwangu" au "sema kwamba mimi ni mmoja wa unaowadai."
# mimi Paulo ninaandika kwa mkono wangu
Paulo niliyeandika hivyo, kwamba Filemoni ujue kwamba ni maneno ya kweli; Paulo kweli angemlipa. "Mimi, Paulo, ninaandika hivi mwenyewe."
# Sikutaka kukwambia
"Sikuhitaji kukukumbusha wewe" "wewe unajua"
# unanidai maisha yako
"wewe unanidai maisha yako" Paulo anamwambia Filemoni asiseme kuwa anawadai Onesmo au Paulo maisha yake kwa sababu Paulo anamdai zaidi Filemoni. "Ninakudai zaidi maana nimeyaokoa maisha yako"
# furahisha moyo wangu
Paulo alitaka Onesmo angefanya kwa uaminifu: furahisha moyo wangu kwa kumkubali Onesmo. "uufanye moyo wangu ufurahi" au "unifurahishe" au "unifariji."