sw_tn_fork/neh/07/66.md

17 lines
263 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Nehemia anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni.
# Kusanyiko lote kwa pamoja
"Kundi zima pamoja"
# ilikuwa 42,360
"ilikuwa watu 42,360"
# waimbaji wanaume na wanawake
"waimbaji wanaume na waimbaji wanawake"