sw_tn_fork/lev/20/01.md

9 lines
364 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# atakayemtoa mtoto wake yeyote kwa Moleki
Wale waliomwabudu Moleki waliwatoa dhabihu watoto wao kwake kwa njia ya moto. Maana kamili yaweza kuwekwa wazi. : "auaye watoto wake kama sadaka kwa Moleki"
# hakika atauawa. Ni lazima watu wa nchi wamponde kwa maw
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Watu katika nchi watamponda kwa mawe mpaka kufa