sw_tn_fork/jud/01/17.md

21 lines
464 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Watu hawa
"Hawa wadhihaki"
# wanatawaliwa na tamaa za asili
Watu hawa wanazungumziwa kama tamaa zao ni wafalme wanao watawala. "Awaachi kumkosea Mungu kwa kuendelea kufanya maovu wanayo tamani kufanya.
# hufuata ... tamaa
Tamaa zisizo za kitauwa za ongelewa kama ni njia ambayo huyo mtu kaifuata.
# ni wa kidunia
"wenye dharau wanajiingiza kwenye dhambi ya zinaa"
# hawana Roho
Roho Mtakatifu anazungumziwa kama ni kitu ambacho watu wanaweza kumiliki.