sw_tn_fork/jer/32/13.md

17 lines
461 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yeremia anaendelea kuzungumza.
# Mbele yao.
Hapa "yao" anatajwa Hanameli, shahidi, na Wayudea.
# Chukua nyaraka hizi, vyote hati hii ya manunuziiliyopigwa muhuri na nakala zisizopigwa muhuri.
"Chukua nyaraka ziliyopingwa muhuri na zile ambazo hazijapigwa muhuri."
# Nyumba, mashamba, na mashamba ya mizabibu vitanunuliwa tena katika nchi hii.
"Watu wa Israeli watanunua tena nyumba, bustani za mizabibu na mashamba katika nchi hii."