forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
639 B
Markdown
17 lines
639 B
Markdown
|
# Kwa imani, bila mashaka yoyote
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuzungumziwa kwa mtazamo chanya. "Kwa uhakika zaidi kuwa Mungu atajibu"
|
||
|
|
||
|
# Kwa yeyote mwenye mashaka ni kama mawimbi ya bahari yanavyoendeshwa na upepo na kuchafuka kwa bahari
|
||
|
|
||
|
Yeyote mwenye mashaka kuwa Mungu atamsaidia ni kama maji ndani ya bahari au maziwa makubwa yanayopita katika uelekeo tofauti.
|
||
|
|
||
|
# Ana nia mbili
|
||
|
|
||
|
Nia. Neno "nia mbili" linamaanisha mawazo ya mtu pale anaposhindwa kufanya maamuzi. "Anashindwa kuamua amfuate Yesu as la"
|
||
|
|
||
|
# Hana msimamo kwenye njia zake zote
|
||
|
|
||
|
Hapa anazungumziwa mtu amabye hawezi kukaa kwenye njia moja badala yake anaenda njia moja baada ya nyingine.
|
||
|
|