sw_tn_fork/isa/61/08.md

9 lines
356 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Vizazi vyao vitajulikana miongoni mwa mataifa, na watoto wao miongoni mwa watu
Vishazi hivi viwili vina maana moja. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu kutoka mataifa mengine watajua vizazi vyao"
# watoto wao miongoni mwa watu
Kishazi hiki kinachukulia kitenzi hicho hicho kama kilicho nyuma. "uzao wao utajulikana miongoniu mwa watu"