sw_tn_fork/isa/61/02.md

13 lines
303 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza
# mwaka wa fadhila ya Yahwe, siku ya kisasi
Misemo hii miwili ina maana ya muda mmoja wa wakati. "Mwaka" na "siku" zote ni mifano bayana ambayo inawakilisha ukubwa kamili.
# mwaka wa fadhila ya Yahwe
"wakati ambapo Yahwe atatenda wema kwa watu wake"