forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
1.0 KiB
Markdown
33 lines
1.0 KiB
Markdown
|
# alinyunyuzia
|
||
|
|
||
|
"Musa alinyunyuzia"
|
||
|
|
||
|
# nyunyuzia
|
||
|
|
||
|
Kunyunyuzia kulikuwa ni tendo la ishara ambalo lilifanywa na makuhani ambalo kwa hilo walipata faida ya agano kwa watu na kwa viyombo.
|
||
|
|
||
|
# Vyombo vyote vilivyotumiwa katika huduma
|
||
|
|
||
|
huu ni mkebe au chombo ambacho unaweza kubeba vyombo. Hii inamaanisha vyombo au kitu. AT: " vyombo vyote vilivyotumika katika huduma"
|
||
|
|
||
|
# vilitumika katika huduma
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Makuhani walivitumia katika kazi zao"
|
||
|
|
||
|
# karibia kila kitu kinatakaswa kwa damu
|
||
|
|
||
|
kufanya kitu kipokelewe na Mungu kunafanywa kana kwamba kitu hicho kilikuwa kinatakaswa. Wazo hili linaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Makuhani hutumia damu kusafisha karibia ila kitu"
|
||
|
|
||
|
# damu
|
||
|
|
||
|
Hapa damu ya mnyama inaongelewa kuhusu kifo cha mnyama.
|
||
|
|
||
|
# Hakuna msamaha wa dhambi pasipo kuwagika damu
|
||
|
|
||
|
Hapa "kumwaga damu" kunamaanisha kwa kitu kufa kama dhabihu kwa Mungu. mambo haya hasi yanaweza kumaanisha msamaha wote unapatikana kwa njia ya kumwaga damu.
|
||
|
|
||
|
# msamaha
|
||
|
|
||
|
"msamaha wa dahmbi ya watu"
|
||
|
|