forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
509 B
Markdown
17 lines
509 B
Markdown
|
# Huu pia ni mvuke
|
||
|
|
||
|
Kama vile mvuke hauna umbo, vivyo hivo hakuna kuridhika katika kutamani pesa.
|
||
|
|
||
|
# Kadri mafanikio yanapoongezeka
|
||
|
|
||
|
"Kadri mtu anavyofanikiwa"
|
||
|
|
||
|
# ndivyo wanavyoongezeka watu wanaotumia
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) "ndivyo mtu anavyotumia pesa zaidi" au 2) "ndivyo pia watukuwepo watu zaidi wakutumia utajiri wake."
|
||
|
|
||
|
# Kuna faida gani katika utajiri kwa mmiliki isipokuwa kuutazama kwa macho yake?
|
||
|
|
||
|
"Faida pekee ambayo mmiliki alionao kutokana na utajiri wake ni kwamba anaweza kuutazama tu"
|
||
|
|