sw_tn_fork/act/13/44.md

25 lines
387 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Karibu mji mzima
"Mji" Ni neno linaliwakilisha watu wa mji huo.
# kusikia neno la Mungu.
"Kuwasikia Paulo na Barnaba wakinena neno la Bwana Yesu.
# Wayahudi
:Hawa ni Wayahudi Viongozi"
# walijawa na wivu
"Hali ya wivu ikawajia"
# Wakaongea masneno ya kupinga
"Maneno yaliyopinga ujumbe wao"
# maneno yaliyopinga vitu vilivyosemwa na Paulo
"Mambo yale yaliyosemwa na Paulo"