sw_tn_fork/act/06/10.md

17 lines
355 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Taarifa za nyuma zilizoanza zinaendelea katika mstari wa 10.
# Hawakuweza kushindana
"Wasingeweza kuthibitisha uongo kwa kile Stefano alichosema"
# Waliwashawishi kwa siri
Kwa kuwa jambo lilifanywa kwa siri, inathibitisha kwamba ushuhuda wao ulikuwa wa uongo.
# Maneno ya kukufuru
"maneno kinyume na sheria ya Mungu na Musa"