sw_tn_fork/2sa/11/24.md

25 lines
558 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Warusha mishale wao warusha
"Walirusha mishale"
# Baadhi ya watumishi wa mfalme waliuawa
"Waliwauwa baadhi ya watumishi wa mfalme"
# Mtumishi wako Uria Mhiti ameuawa
"Walimwua mtumishi wako Uria pia"
# Watumishi wa mfalme
Hapa "watumishi" inarejerea askari, siyo watumwa, kwa sababu askari walikuwa watumishi wa mfalme.
# Maana upanga hula huyu kama ulavyo mwingine.
Hapa "upanga" inarejerea kwa mtu anayemwua mwingine kwa upanga. Kumwua mtu kwa upanga unazungumzwa kama vile ni "kula" watu.
# Ongezeni mashambulizi
"Piganeni kwa nguvu zaidi"