forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
642 B
Markdown
17 lines
642 B
Markdown
|
# Je, hamjui mimi na babu zangu tulifanya nini kwa makundi ya watu wote wa nchi zingine?
|
||
|
|
||
|
"Mnajua vyema sana."
|
||
|
|
||
|
# Je, miungu ya watu wa nchi hizo iliweza kwa njia yoyote iliweza kuziokoa nchi zao dhidi ya nguvu zangu?
|
||
|
|
||
|
"Miungu ya makundi ya watu wa nchi hizo kamwe haikuweza kuwaokoa watu wake dhidi ya nguvu zangu!"
|
||
|
|
||
|
# Miongni mwa nchi hizo zote, je kulikuwa na miungu iliyoweza kuwaokoa watu wake kutoka kwenye mkono wangu?
|
||
|
|
||
|
"Hapakuwa na muungu kati ya miungo yote ambaye aliweza kuwaokoa!"
|
||
|
|
||
|
# Itakuwaje Mungu wenu ninyi aweze kuwaokoa ninyi dhidi ya nguvu zangu?
|
||
|
|
||
|
"Hakuna sababu ya Mungu wenu kuweza kuwaokoa ninyi dhidi ya mkono wangu!"
|
||
|
|