sw_tn_fork/sng/06/08.md

29 lines
792 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kuna malikia sitini, masuria themanini
Kuna malikia 60, masuria 80."
# wanawake wadogo bila idadi
Maneno, "bila idadi" yamaanisha hakuna anaweza kuwahesabu. "maelfu ya wanawake wadogo"
# Hua wangu, asiye na doa wangu
Ona jinsi ulivyo tafsiri "Hua wangu, asiye na doa wangu" 5:2
# ni yeye pekee
"ni wa pekee" au "ni mmoja wa wachache." Mpenzi ana mtofautisha mwanamke na wanawake wengine. Japo kuwa kuna wanawake wema wengi, mwanamke ana simamawa kipekee miongoni mwa wote.
# ni binti muhimu wa mama yake
"kwa mama yake ni binti maalumu" au "yeye ni binti wa mama yake ambaye ni wa kipekee"
# mwanamke aliye mzaa
"mwanamke aliye mzaa." Haya maneno ya muongelea mama yake.
# na kumuita mbarikiwa
"na kukiri kuwa mambo yamemuendea vizuri" au "kusema kuwa yeye alikuwa na bahati"