sw_tn_fork/psa/091/001.md

33 lines
894 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Yeye anayeishi ... atabaki ... ya Mwenyezi
"Aliye juu, Mwenyezi, atawajali wote wanaoishi mahali anapoweza kuwalinda"
# anayeishi katika kivuli cha Aliye juu
Neno "kivuli" ni sitiari ya ulinzi. "anayeishi mahali ambapo Aliye juu humlinda"
# Aliye juu
Maneno "Aliye juu" yanamaanisha Yahwe.
# atabaki katika kivuli cha Mwenyezi
Neno "kivuli" hapa ni sitiari ya ulinzi. "atabaki mahali ambapo Mwenyezi anaweza kumlinda"
# Mwenyezi
yule mwenye uwezo na mamlaka juu ya kila kitu
# Nitasema ya Yahwe
"Nitasema kumhusu Yahwe"
# kimbilio lnagu na ngome yangu
"Kimbilio" ni sehemu ambapo mtu anaweza kwenda na kuwa na mtu au kitu kinachomlinda. "Ngome" ni kitu ambacho watu hutengeneza ili wajilinde wao na mali zao. Asafu anayatumia hapa kama sitiari ya ulinzi. "yule ambaye ninaweza kwenda kwake na atanilinda"