sw_tn_fork/psa/071/021.md

17 lines
455 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Na uzidishe ... geuka tena na unifariji
"Nita unizidishie ... nataka ugeuka tena na kunifariji." Tafsiri zingine zinasoma, "Utanizidishia ... utageuka tena na kunifariji"
# geuka tena na unifariji
Hii inaeleza tendo moja katika misemo miwili. "nifariji tena"
# kwa uaminifu wako
"kwa sababu ninaweza kukutumaini"
# nitaimba sifa kwako kwa kinubi, Mtakatifu wa Israeli
"kwako, ambaye ni Mtakatifu wa Israeli, nitaimba sifa huku nikicheza kinubi"