forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
507 B
Markdown
17 lines
507 B
Markdown
|
# alitaka kumuua, lakini hakuweza
|
||
|
|
||
|
Binti wa Herode ni mtendaji mkuu katika kifungu hiki na "binti" ni maneno mbadala kama anavyotaka mtu fulani amuuwe Yohana. "alitaka mtu fulani amuuwe, lakini asinge muuwa"
|
||
|
|
||
|
# maana Herode alimwongopa; alimjua
|
||
|
|
||
|
Hivi vifungu viwili vinaweza kuunganishwa tofauti kuonyesha zaidi kwanini Herode alimwogopa Yohana. "maana Herode alimwogopa Yohana kwa sababu alimjua"
|
||
|
|
||
|
# alijua kwamba ni mwema
|
||
|
|
||
|
"Herode alimjua kuwa Yohana alikuwa mwema"
|
||
|
|
||
|
# Msikilize yeye
|
||
|
|
||
|
"Msikilize Yohana"
|
||
|
|