sw_tn_fork/mat/13/57.md

21 lines
257 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Aliwachukiza
watu walimkataa Yesu
# Nabii hakosi kuwa na heshima isipokuwa kwao
nabii hupokea heshima kila mahli
# nchini yao
"mji wa kwao"
# kwao
"nyumbani kwao"
# Na hakuweza kufanya miujiza mingi
"Yesu hakuweza kufanya miujiza nyumbani kwao"