sw_tn_fork/jos/06/17.md

21 lines
660 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi kiunganishi
Yoshua anaendelea kuongea na watu wa israeli.
# Mji pamoja na vitu vyote ndani yake vitatengwa kwa Yahweh kwa ajili ya uharibifu.
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa kauli tendaji: "Ni lazima kuzitenga kwa Yahweh mji na kila kitu ndani yake kwa ajili ya kuharibiwa"
# iweni waangalifu juu ya kuchukua vitu
Kuwa mwangalifu kunaongelewa kana kwamba wao ni walinzi wenyewe. "Iweni waangalifu msivichukue vitu"
# mtaleta matatizo katika kambi
Kufanya kitu fulani kinachofanya mambo mabayaa kutokea katika mji kunasemwa kama kuleta matatizo juu yake.
# Hazina ya Yahweh
Mkusanyiko wa vitu vilivyotengwa kwa ajili ya kumwabudia Yahweh.