sw_tn_fork/hos/14/09.md

17 lines
444 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Nabii Hosea anazungumza.
# Nani mwenye busara ili aelewe mambo haya? Nani anaelewa mambo haya ili awatambue?
Nabii anatumia maswali haya kusema kuwa watu wenye busara wataelewa na kusikiliza kile atakachokisema.
# Kwa kuwa njia za Bwana ni sawa, na wenye haki watatembea ndani yao
Amri za Bwana zinazungumzwa kama njia ya kupitia.
# wataanguka
Kutomtii Bwana kunazungumzwa kama kutendo cha kuanguka ukiwa unatembea.