sw_tn_fork/hos/14/07.md

29 lines
717 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza.
# Watu wanaoishi katika kivuli chake watarejea
Watu wa Israeli tena wataishi kwa kulindwa na Mungu.
# watafufuliwa kama nafaka na maua kama mizabibu
Mafanikio ya Israeli yanazungumzwa kwa lugha ya kilimo.
# Utukufu wake utakuwa kama divai ya Lebanoni
Kama divai ya Lebanoni ilivyokuwa maarufu pia Israeli itakuwa maarufu.
# nifanye nini tena na sanamu?
Sentensi hii inaonesha kuwa Mungu atawakataza Israeli kuabudu muingu.
# kama mberoshi majani yake ni ya kijani daima
Mberoshi ni mti ambao majani yake ni ya kijani mwaka mzima. Hii inawakilisha baraka za Bwana juu ya Israeli.
# kwangu huja matunda yako
"matunda" inawakilisha kitu kizuri kinachotoka kwa Bwana.