sw_tn_fork/hos/14/03.md

17 lines
324 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Hosea anazungumza.
# kazi ya mikono yetu
"mikono" hii inamaanisha watu wanatengeneza vitu. "kwa sanamu tunazotengeneza"
# mtu asiye na baba
Hii inaonesha huruma kubwa ya Mungu kwa watu wake.
# hupata huruma
Hapa kitendo cha Mungu kuonesha huruma kinazungumzwa kama ni kitu ambacho mtu amekipata.