sw_tn_fork/ezk/32/24.md

53 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu mataifa katika Sheole.
# Elamu yupo huko
Hapa "Elamu" linarejea kwa watu wa hiyo nchi. "Watu wa Elamu pia wapo huko katika Sheoli"
# watumishi wake
watu wake wengi au jeshi lake.
# Makaburi yake yamemzunguka
Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:22.
# wote waliuawa
"Hapa maadui waliwaua wote"
# Wale walioanguka kwa upanga
"walio anguka kwa upanga" katika 32:22.
# waliokwenda chini wasiotahiriwa
"ambao walikuwa hawajatahiriwa wakati waliposhuka chini"
# sehemu ya chini kabisa ya nchi
"sehemu za chini kabisa katika aridhi"
# aliwaleta mashujaa wao juu ya nchi ya walio hai
Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:22.
# Wameweka vitu vya kitandani kwa ajili ya Elamu na watumishi wake
"Walimpatia Elamu vitanda na watumishi wake wote."
# katikati ya wachinjaji
"pamoja na watu wote waliokuwa wameuawa."
# Wote hawajatahiriwa
Wamisri waliwachukia watu ambao walikuwa wametahiriwa.
# Elamu yu miongoni mwa wale waliokuwa wameuawa
"Maiti zilimpatia Elamu mahali kulala miongoni mwao wenyewe"