sw_tn_fork/1co/12/21.md

13 lines
237 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# haliwezi kuuambia mkono, "sina haja na wewe."
Neno "wewe" lipo katika hali ya ummoja
# onekana kuwa na heshima kidogo
"siyo muhimu sana"
# visivyotajwa
Hii pengine inarejea kwenye sehemu za siri za mwili, ambazo huwa vimefunika.