# Fungua milango yako, ee Lebanoni, ili moto uteketeze mielezi yako Nabii anaongeza na nchi ya Lebaboni kama vile alikuwa ni mtu. # Omboleza, enyi miti ya misonobari, kwani mierezi imeanguka "Ikiwa miti ilikuwa watu, ingelia kwa huzuni. Misonobari imebaki pekee kwa sababu mierezi imechomwa na kuanguka." # Ombolezeni, enyi mialoni ya Bashani, kwani msitu wenye nguvu umeshushwa. "Ikiwa miti ya mialoni iliyoko Bashani ingekuwa watu, wangeomboleza, kwani msitu mzito umeangushwa." # Wachungaji wanapiga yowe "Wachungaji wanalia kwa sauti" # kwa kuwa utukufu wao umeharibiwa "Utukufu wao" pengine inawakilisha nyasi nyingi ambapo wachungaji walipeleka kondoo wao. # kwa kuwa kiburi cha Mto Yordani "kwa sababu miti walipokaa kando ya Mto Yordani imeharibiwa."