# haja zangu za moyo za ndani Hapa "moyo" unamaanisha mwandishi. "Hamu zangu kuu" au "kuwa natamani uniponye" # magumio yangu hayajafichwa kwako Hii inaweza kuelzwa katika hali ya kutenda. "unaweza kuona # moyo wangu unadunda "unaweza kuona kulia kwangu kwa huzuni" # nguvu yangu inapotea "ninakuwa mnyonge sana" # kuona kwangu kunafifia "Siwezi kuona vizuri tena"