# wakati ulikuwa umeenda "kwa sababu ilikuwa jioni" # alikwenda Bethania pamoja nao kumi na wawili "yeye na wanafunzi wake walikwenda Yerusalemu na kwenda Bethania" # walipokuwa wakirudi kutoka Bethania "wakati walipokuwa wakirudi Yerusalemu kutoka Bethania"