# wa vita "katika pambano" # akijizatiti na "ilikuji linda dhidi ya" au "kuweza kupigana na" # maasi ya usiku Hii ya husu hatari yeyote inayo weza kuja giza la usiku, kama majambazi. # kiti cha kifalme kiti chenye miti mirefu watu wanacho tumia kubeba watu muhimu