# Sentensi unganishi: Ingawa Paulo amekuwa akisisitiza kwamba kuna mapambano ndani ya walioamini kati ya mwili na Roho, anathibitisha kuwa Roho anatusaidia sisi. # kuugua kusikoweza kutamkwa "kuugua ambako hakuwezi kuelezewa kwa maneno"