# Sentensi unganishi: Paulo anatoa majibu kwa mapambano aliyonayo dhidi ya dhambi na wema. # kwahiyo "kwa sababu hii" au "kwasababu ambacho nimekwisha kuwaambieni ninyi ni kweli" # kanuni...kanuni Neno "kanuni" hapa linaelezea jinsi mambo yanavyofanya kazi kwa asili. Hii haina uhusiano wowote na taratibu zilizowekwa na watu.