# tumekwish kufa pamoja na Kristo Ijapokuwa Kristo alikufa kimwili, hapa "kufa" urejea kwa wakristo kufa kiroho kwa nguvu ya dhambi. "tumekufa kiroho pamoja na Kristo." # Tunajua ya kuwa Kristo amekwisha inuliwa toka mauti "Mungu alimleta Kristo katika uhai baada ya kufa" # Kifo hakimtawali tena Hapa "kifo" kimeelezwa kama mfalme au kiongozi ambaye ana nguvu juu ya watu. "Hawezi kufa tena."