# kama mtajipanga wenyewe "kama mtachukua silaha zenu" # Mbele ya BWANA "katika uwepo wa BWANA" # mpaka atakapowafukuza maadui zake "mpaka BWANA atakapowawezesha maaskari kuwaangamiza maadui na kuwafu"kuza kutoka katika uwepo wake # na nchi itawaliwe na Israeli "na katika uwepo wake Waisraeli watawatawala watu wanaoishi katika nchi hiyo" # mtaweza kurudi "mtaweza kurudi katika nchi hii katika upande wa mashariki wa Yorodani # Hamtakuwa na hatia mbele za BWANA na mbele ya Israeli Inamaanisha 1) "mtakuwa mmekamilisha wajibu wenu kwa BWANA na kwa Israeli 2)"Hakutakuwa nalawama toka kwa BWANA au kwa Israeli"