# Je,alishawahi kuahidi kitu pasipo kukitekeleza? Je, alishawahi kusema kuwa atafanyakitu bila kufanya? "Hajawahi kuahidi kitu pasipo kutimiza kile alichoahidi. Amekuwa akifanya kama alivyosema kuwa atafanya." # Nimeamuriwa kubariki "Mungu ameniamuru kuwabariki Waisraeli"