# Tengeneza nyoka "Tengeneza mfano wa nyoka" # kila anayeumwa "kila amabaye ataumwa na nyoka # nyoka wa shaba "nyoka anayetokana na shaba" # na kumwanagalia huyo nyoka atapona kiwakilishi "a" kinmwakilisha mtu yeyote aliyeumwa na nyoka.