# Hatia yao imefika mbinguni, imefikia mawingu "Babeli ina hatia sana" # Bwana ametamka haki yetu Bwana aliiadhibu Israeli kwa sababu ya makosa yao lakini sasa amewaacha wamrudie.