# Kwa namna gani nyundo ya mikono yote imekatwa vipande na kuharibiwa "nyundo wa mikono yote" ni jeshi kubwa la Babeli ambalo litakwenda kuharibiwa. # Hofu Ni hisia nzito ya uoga na mshtuko. # Ulikamatwa, Babeli "Nilikukamata, Babeli" # Ulionekana na kukamatwa "Nilikuona na kukukamata"