# sherehe na furaha vimeondolewa "hakuna atakayekuwa na raha wala kufurahia huko Moabu" # Nimeufanya kuwa mwisho "Nimesimamisha" # Hawatatembea "hawatakanyaga" Hawa ni watengeneza mvinyo wa Moabu.