# Wakaenda nje usiku toka mjini kwa njia ya bustani ya mfalme "waliondoka mjini usiku wakaenda kupitia njia ya bustani ya mfalme" # Nchi tambarare ya Yeriko Hii ni nchi iliyo tambarare iliyoko kusini mwa bonde. # Ribla katika nchi ya Hamathi Ribla ulikuwa mji katika himaya ya Hamathi. # wakawafuata na kuwapata "wakawafuata na kuwakamata" # Wakatoa hukumu juu yake "wakaamua namna ya kumuhukumu"