# Nguzo, bahari, na kitako. Hivi vilikuwa vifaaa ambavyo vilikuwa hekaluni. "Bahari," lilikuwa beseni la chuma iliyoyeyushwa. # Yehoyakimu. Maandishi ya Kiebrania yanasema "Yekonia," huu ni utofauti wa jina "Yehoyakimu" ili kuweka wazi kuwa huyu ni mfalme mmoja anayetajwa kwa majina haya.