# Taarifa za jumla Bwana anaendelea kusema juu ya watu wa Israeli kama kondoo wake na viongozi wa Israeli kama wachungaji # kwenye eneo la malisho "ambapo mahitaji yao yote yatatolewa" # ambako watazaa na kuongezeka Neno "ongezeko" linaelezea jinsi watakavyokuwa "wenye kuzaa." AT "wataongezeka kwa idadi kubwa." # hivyo hawataogopa tena au kupotezwa Maneno "yamevunjwa" inamaanisha kwamba mtu amewafanya waogope na maana yake ni sawa na "hofu." "Hakuna mtu atakayewaogopa tena." # Hakuna hata mmoja "Hakuna kati ya watu wangu"