# Taarifa kwa ujumla BWANA anaenedelea kuongea # watu wao wamo kati ya watu wangu "kwa kuwa nimewaona watu waovu kati ya watu wangu # wanaweka mtego na kukamata watu "wanapanga vitu ili kwamba wapate nafasi ya kupata watu" # wanakua na kutajirika "wanakuwa na nguvu pia matajiri" # wanang'aa nakupendeza "wana ngozi laini na wene kupendeza" # wamepitiliza hata mipika ya maovu "wanafanya vitu ambavyo viko zaidi ya uovu" # Sababuy a kuwepo kwa watu yatima "hawawajali kusadaia mashauri yanayoletwa na yatiima # kwa nini nisiwaadhibu ... taifa la namna hii Tazama 5:7