# Israeli yote "watu wote wa Israeli waliokuwepo" # Je, tuna sehemu gani kwa Daudi? "hatutakuwa na sehemu katika familia ya Daudi" # Hatuna urithi kwa mwana wa Yese" "Hatutakuwa na chochote cha kufanya katika uzao wa Yese" # "Nenda kwenye hema zako "Nendeni nyumbani kwenu, enyi watu wa Israeli" # sasa tazama kwenye nyumba yako "Sasa uuangalie utawala wako, uzao wa Daudi"