Notes for OT books

This commit is contained in:
Larry Versaw 2019-05-21 14:17:16 -06:00
parent 055501edb8
commit 9391ea1c68
10182 changed files with 174686 additions and 38 deletions

8
1ch/01/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Wana wa Nuhu walikuwa ni Shemu, Hamu, na Yafethi
Tafsiri zingine, pamoja na ULB na UDB, za usisha "Wana wana" ili kuweka wazi kuwa Shemu, Hamu, na Yafethi walikuwa ni ndugu na wana wa Nuhu. Lasihivyo, msomaji ata dhani kila mtu aliwakilisha kizazi kimoja mbali na Nuhu, babu yao.
# Enoshi, Kenani, Mahalaleli, Yaredi ... Methusela
Haya majina ni orodha ya mababu.

8
1ch/01/05.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Gomeri ... Dodanimu
Tafsiri haya majina jinsi ungetafsiri majina kwenye lugha yako. Haya yote ni majina ya wanaume.
# Dodanimu
Hili jina uwa latafsiriwa "Rodanimu" kama kwenye UDB.

4
1ch/01/08.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Mizraimu ... Nimrodi
Haya ni majina ya watu.

4
1ch/01/11.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# kwa yeye ambaye Wafilisti walitoka
"mababu wa Wafilisti"

8
1ch/01/13.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Hethi
Hili ni jina la mtu.
# Mwarki ... Mhamathi
Haya ni majina ya vikundi vya watu

4
1ch/01/17.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Arfaksadi ... Yoktani
Haya ni majina ya watu.

4
1ch/01/20.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Yoktani ... Yobabu
Haya ni majina ya watu.

4
1ch/01/24.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Shemu ... Serugi
Haya ni majina ya watu.

4
1ch/01/28.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Nebayothi ... Kedema
Haya ni majina ya watu.

4
1ch/01/32.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Ketura ... Elda
Haya ni majina ya watu.

4
1ch/01/34.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Elifazi ... Miza
Haya ni majina ya watu.

4
1ch/01/38.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Lotani ... Ana
Haya ni majina ya watu.

4
1ch/01/41.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Ana ... Arani
Haya ni majina ya watu.

16
1ch/01/43.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Bela ... Beori ... Yobabu .. Zera .. Hushamu
Haya ni majina ya watu.
# Dinhaba ... Bozra
Haya ni majina ya sehemu
# Hushamu wa nchi ya Watemani akatawala badala yake
'Hushamu, kutoka nchi ambayo uzao wa Temani waishi, alitawala baada yake."
# Watemani
Hili ni jina la kundi la watu

8
1ch/01/46.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Hushamu ... Hadadi ... Bedadi ... Samla ... Shauli
Haya ni majina ya watu.
# Avithi ... Masreka ... Rehobothi
Haya ni majina ya sehemu

8
1ch/01/49.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Shauli ... Baali Hanani ... Akbori ... Hadari ... Mehetabeli ... Matredi ... Me Zahabu
Haya ni majina ya watu.
# Pai
Hili ni jina la sehemu.

4
1ch/02/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Rubeni ... Asheri
Haya ni majina ya watu.

24
1ch/02/03.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,24 @@
# Yahweh
Hili ni jina la Mungu alilo lirihidhisha kwa watu wake wa Agano la Kale.
# alimzalia Peresi na Zera
"aliza wana wake Perezi na Zera"
# wana wa tano
"wana wa 5"
# macho ya Yahweh
"kwa mujibu wa Yahweh|"
# Yahweh akamwua
Hii inamaanisha Yahweh aliruhusu Eri auliwe.
# mkwe wake
Hii ina maana ya mke wa mwanae.

4
1ch/02/13.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# wa pili ... wa tatu
"mwanae wa pili ... mwanae wa tatu"

4
1ch/02/16.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Yetheri Mwishmaeli
Hii ina maanisha kuwa Yetheri alikuwa uzao wa Ishmaeli.

4
1ch/02/18.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# aliye mzalia
"alimzaa"

4
1ch/02/21.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# aliye mzalia
"alimzaa"

4
1ch/02/23.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# aliye mzalia
"alimzaa"

4
1ch/02/25.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Atara
Hili ni jina la mwanamke.

4
1ch/02/34.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# aliye mzalia
"alimzaa"

4
1ch/02/42.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Wana wa Kalebu ... Maresha
Tafsri tofauti zinaelewa mahusiano miongoni mwa hawa watu kwa njia tofauti. Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba "baba wa Hebroni ... baba wa Rahama, baba wa Yorkeamu ... baba wa Shamai" ya maanisha "mzinduzi wa ukoo wa Hebroni," nk. Baadhi ya tafsiri za weza tumia hii lugha.

4
1ch/02/48.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# alimzaa
"alimzalia"

4
1ch/02/52.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Wanuthi ... Waithri, Waputhi, Washumathi, na Wamishrai. Wazora na Waeshtaoli
Haya ni majina ya koo.

4
1ch/02/54.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Wanetofathi, Atroth-Beth-Yoabu, na nusu ya Wamenuhothi na Wazori ... Watirathi, Washimeathi, na Wasukathi ... Wakeni ... Warekabu
Haya ni majina ya koo.

20
1ch/03/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Daudi
Daudi alikuwa mwana wa Yese, aliye kuwa uzao wa Yuda.
# Ahinoamu ... Abigail ... Maaka ... Hagithi ... Abitali ... Egla
Haya ni majina ya wanawake.
# Talmai ... Shefatia ... Ithraeamu
Haya ni majina ya wanaume.
# Danieli
Huyu mtu ana jina kama la nabii wa Israeli lakini ni mtu tofauti.
# Egla mkewe
"Egla, mke wa Daudi." Daudi alikuwa na zaidi ya mke mmoja. "Mke wa Daudi Egla"

12
1ch/03/04.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# alipo tawala miaka saba na miezi sita
Hii ya weza tafsiriwa kama sentensi yenyewe: "Daudi alitawala huko miaka saba na miezi mitatu."
# miaka thelathini na mitatu
miaka mitatu** - " miaka 33"
# Ammieli ... Shammua ... Shobabu ... Nadhani
Haya ni majina ya watu.

8
1ch/03/06.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Ibhari ... Elishama ... Elifeleti ... Noga ... Nefegi ... Yafia ... Eliada
Haya ni majina ya wanaume.
# Elishama ... Elifeleti
Haya majina yametumika kwa wana wawili.

12
1ch/03/10.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Maelezo ya jumla:
Huu ni mwanzo wa orodha ya uzao wa Daudi ya walio kuwa wafalme.
# Mwana wa Sulemani alikuwa ni Rehoboamu. Mwana wa Rehoboamu alikuwa Abiya
Sulemani alikuwa na zaidi ya mwana mmoja. Hii ni kweli kwa kwa wanaume wengine kwenye orodha. "Sulemani alikuwa baba wa Rehoboamu. Rehoboamu alikuwa baba wa Abiya"
# Azaria
Hili ni jina lingine la Uzia, jina linalo julikana vizuri kwa huyu mfalme. Wafasiri wanaweza amua kutumia "Uzia" kila sehemu kwa huyu mfalme.

8
1ch/03/13.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Maelezo ya Jumla
Huu ni mwendelezo wa orodha ya uzao wa Daudi ya walio kuwa wafalme. Tunga hizi sentensi kama ulivyo fanya kuanzia 3:10.
# Amoni
Hili ni jina la mwanaume.

8
1ch/03/15.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Maelezo ya Jumla
Huu ni mwendelezo wa orodha ya uzao wa Daudi ya walio kuwa wafalme. Tunga hizi sentensi kama ulivyo fanya kuanzia 3:10.
# Yohanani ... Shalumu ... Yehoyakini
Haya ni majina ya wanaume.

12
1ch/03/17.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Yehoyakini
Baadhi ya tafsiri zina "Yekonia," ambayo ni mbadala wa "Yehoyakini."
# watekwa
Hii inaweza kuwa cheo kilichopewa Yehoyakini kwasababu alichukuliwa matekani. Ingawa, baadhi ya tafsiri za eleza hilo neno kama "Asiri," jina la mmoja wa wanae.
# YehoYakini ... Shealtieli, Malkiramu, Pedaya, Shenezari, Yekamia, Hoshama, na Nedabia
Haya ni majina ya wanaume.

16
1ch/03/19.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Pedaya ... Shimei ... Meshulamu ... Hanania ... Hashuba ... Oheli ... Berekia ... Hasadia ... Yushabu Hesedi ... Pelatia ... Yeshaia ... Refaya ... Arnani ... Shekania
Haya ni majina ya wanaume.
# Shelomithi
Hili ni jina la mwanamke.
# Obadia
Huyu mwanaume ana jina sawa na nabii wa Israeli Obadia lakini ni mtu tofauti.
# uzao wake zaidi walikuwa ni Arnani, Obadia, na Shekania.
Tafsiri tofauti zinawaweka hawa watu katika mahusiano tofauti wao kwa wao, kwasababu lugha ya Kiebrania haijafafanua kuwahusu.

4
1ch/03/22.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Shemaia ... Hatushi ... Igali ... Baria ... Nearia ... Shafati ... Elionai ... Hizekia ... Azrikamu ... Hodavia ... Eliashibu ... Pelaya ... Akubu ... Delaia ... Anani
Haya ni majina ya wanaume.

8
1ch/04/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Perezi ... Hezroni ... Karmi ... Huri ... Shobali ... Reaia ... Yahathi ... Ahumai ... Lahadi
Haya ni majina ya wanaume
# Zora
Hili kundi la watu liliitwa kwa jina la mji wa Zora walipoisi

20
1ch/04/03.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Hawa walikuwa mababu
Hii ya husu orodha ya mistari ya awali. Ingawa, baadhi ya tafsiri ya husisha haya majina katika mahusiano ya baba-mwana. Katika namna hii, baadhi ya tafsiri ya husisha Penueli kama baba wa Gedori, badala ya muanzilishi wa ukoo wa Gedori.
# Etamu ... Gedori ... Husha
Hay ni majina ya miji.
# Ishma ... Idbashi ... Penueli ... Ezeri ... Efrathi
Haya ni majina ya wanaume.
# Haselelponi
Hili ni jina la mwanamke.
# Hawa walikuwa uzao wa Huri
"Penueli na Ezeri walikuwa uzao wa Huri." Hii ya tanguliza orodha itayofuata.

20
1ch/04/05.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Ashuri ... Tekoa ... Ahuzamu ... Heferi ... Serethi ... Ishari ... Ethnani ... Kozi ... Anubu ... Zobeba ... Aharheli ... Harumu
Haya ni majina ya wanaume.
# Temeni ... Ahashatari
Haya hapa yana fahamika kama majina ya wanaume. Ingawa, baadhi ya tafsiri inayaelewa kama majina ya koo zilizo anzishwa na Ashuri.
# Hela ... Naara
Haya ni majina ya wanawake.
# alimzalia
"aliwaza wana wake"
# a koo zilizotoka kwa Aharheli mwana wa Harumu
Sentensi mpya ya anza hapa. "Kozi pia akawa babu wa Harumu na koo zilizotoka kwa Harumu mwana wa Aharheli"

16
1ch/04/09.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Yabesi
Hili ni jina la mwanaume.
# ongeza mipaka yangu
"nipe mimi eneo zaid"
# mkono wako ukuwa juu yangu
Baadhi ya maana ni kwamba mkono wa Mungu wa wakilisha 1) muongozo wake, 2) nguvu zake, au 3) ulinzi wake. "nilinde mimi" au "nifanye ni fanikiwe" au "nilinde." Pia yaweza tafsiriwa kwa ujumla kama "kuwa na mimi."
# akamjalia maombi yake
"akafanya sawa na maombi yake"

16
1ch/04/11.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Kelubu ... Shuha ... Mehiri ... Eshtoni ... Bethi - Rafa ... Pasea ... Tehina
Haya ni majina ya wanaume.
# Tehina, ambaye alianzisha mji wa Nahashi
"Tehina, mwanzilishi wa mji wa Nahashi"
# Nahashi
Hili ni jina la mji.
# Reka
Hili ni jina la sehemu.

16
1ch/04/13.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Maelezo ya jumla
Itasaidia kutengeneza muunganiko wa mstari na kuweka mstari wa 15 pamoja na mstari wa 13 maana Kenazi alikuwa mzao wa Yefune na Kalebu.
# Kenazi ... Othinieli ... Seraia ... Hathathi ... Meonothai ... Ofara ... Yoabu ... Yefune ... Iru ... Ele ... Namu ... Yehaleli ... Zifi .. Zifa ... Tiriya ... Asareli
Haya ni majina ya wanaume.
# Ge Harashimu, ambaye watu wake walikuwa wahunzi
Ge Harashimu ina maana ya "Bonde la Wahunzi". Maana ya jina ya weza tafsiriwa au ya weza kufanywa kama lilivyo na maelezo yake: "Ge Harashimu, lenye maana ya 'Bonde la Wahunzi.' Liliitwa hivi sababu watu wake walikuwa wahunzi."
# Wahunzi
watu walio na ujuzi wa kutengeneza au kujenga vitu

20
1ch/04/17.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Maelezo ya Jumla
Maelezo ya 4:17 yamepangiliwa tena ili maana yake ieleweke kwa urahisi zaidi.
# Ezra ... Yetheri ... Meredi ... Eferi ... Yaloni ... Miriamu ... Shamai ... Ishibahi ... Eshitemoa ... Yeredi ... Gedori ... Heberi ... Soko ... Yekuthieli ... Zanoa
Haya ni majina ya wanaume.
# Hawa walikua wana wa Bithia
Neno "hawa" la mtaja Miriamu, Shamai, na Ishibahi. Walikuwa wana Bithia aliye mzalia mme wake Meredi.
# Bithia
Hili ni jina la mwanamke.
# Mke wa Kiyahudi wa Meredi
Maandishi ya Kiebrania yasema, "Mke wake wa Kiyahudi," lakini tafsiri nyingi za elewa "wa" ya mhusu Meredi. Hii ya taja mke tofauti wa Meredi, ukiongeza kwa Bithia

12
1ch/04/19.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Hodaia ... Nahamu ... Keila ... Eshtemoa ... Shimoni ... Amnoni ... Rina ... Ben Hanani ... Tiloni ... Ishi ... Zohethi ... Beni Zoheti
Haya ni majina ya wanaume.
# Mgarimi
mtu wa kundi la wa Gari
# Mmakathi
mtu kutoka eneo la Maka, linalo itwa pia Makathi.

12
1ch/04/21.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Shela ... Er ... Leka ... Laada Maresha ... Yoakimu ... Yoashi ... Sarafi
Haya ni majina ya watu
# wafinyanzi
watu wanao tengeneza mikebe kutokana na udogo
# Bethi Ashbea ... Kozeba ... Netaimu ... Gedera
Haya ni majina ya wanaume

12
1ch/04/24.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Nemueli ... Yamini ... Yaribu .. Zera ... Shauli ... Shalumu ... Mibsamu ... Mishima ... Hamueli ... Zakuri ... Shimei
Haya ni majina ya wanume
# mjukuu
mwana wa mtoto wa mtu
# kitukuu
mjukuu** - mwana wa mjukuu wa mtu au mjukuu wa kike

8
1ch/04/27.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# wana kumi na sita na mabinti sita
"wana 16 na mabinti 6"
# Molada ... Hazari Shuali
Haya ni majina ya miji.

8
1ch/04/29.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Maelezo ya Jumla
Orodha ya miji ya uzao wa Simeoni uliishi ya endelea
# Bilha, Ezemu, Toladi, Bethueli, Horma, Zikilagi, Bethi Markabothi, Hazari Susimi, Bethi Biri, Shaaraimu
Haya ni majina ya miji.

12
1ch/04/32.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Maelezo ya Jumla
Orodha ya sehemu uzao wa Simeoni uliishi yaendelea.
# Etamu ... Aini .. Rimoni ... Tocheni ... Ashani
Haya ni majina ya vijiji.
# mipaka
mbali na idadi kubwa ya watu

12
1ch/04/34.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Meshobabu, Yamileki, Yoshahi mwana wa Amazia, Yoeli, Yehu mwana wa Yoshibia mwana wa Seraia, Asieli, Elioenai, Yaakoba, Yeshohaia, Asaia, Adieli, Yesimieli, Benaia, Ziza, Shifi, Aloni Yedaia Shimiri Shemaia
Haya ni majina ya wanaume
# Hawa walio orodheshwa kwa majina walikua viongozi
"Hawa wanaume walikuwa viongozi"
# koo zao ziliongezeka sana
idadi ya watu kwenye koo zao iliongezeka sana"

20
1ch/04/39.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Gedori
Hili ni jina la mji
# malishoni
eneo ambao wanyama wana kula nyasi
# mengi
kiasi kikubwa
# Wahami
uzao wa Hamu
# Wameuni
Hili ni jina la kundi la watu. "uzao wa Meuni"

20
1ch/04/42.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Wanaume mia tano
"wanaume 500"
# Pelatia, Nearia, Refaia, Uzieli, Ishi
Haya ni majina ya watu.
# wakimbizi wa Waamaleki waliobakia
"wakimbizi walio baki"
# wakimbizi
watu walio lazimishwa kuondoka nchini kwao
# hadi siku hii
"kutoka kwao hadi sasa"

20
1ch/05/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# sasa Ruben
Neno "sasa" limetumika hapa kuweka alama ya mabadiliko kutoka orodha ya uzao hadi maelezo ya awali ya Rubeni
# lakini haki yake ya mzaliwa wa kwanza ilipewa kwa wana wa Yusufu mwana wa Israeli
"lakini Israeli aliwapa haki ya mzaliwa wa kwanza ya Rubeni kwa wana wa Yusufu, mwengine wa watoto wa Israeli"
# Rubeni alinajisi kochi la baba yake
Hii ni namna ya adabu ya kusema kuwa Rubeni alilala na mke wa pili wa baba yake. Kochi ni sehemu mwanaume na mke wake walilala pamoja.
# Hivyo hajanakiliwa kama mwana wa kwanza
"Hivyo historia ya familia ya haimuorodheshi Rubeni kama mwana mkubwa"
# Hanoki, Palu, Hezroni, Karmi
Haya ni majina ya wanaume

8
1ch/05/04.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Yoeli ... Shemaia ... Gogi ... Shimei ... Mika Reaia ... Reaia ... Baali ... Bera ... Tiligathi Pileser
Haya ni majina ya wanaume
# Tiligath Pileseri
Hili jina limeandikwa pia kama Tiglathi Pileaseri katika sehemu zingine za Biblia

16
1ch/05/07.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# wameorodheshwa katika nakala za uzao wao
Hii yaeza anza sentensi mpya: "Nakala zao za uzao zimewaorodhesha kama"
# nakala za uzao
nakala zinazoonyesha jinsi watu katika familia wanavyo husiana wao kwa wao
# Yeieli ... Zekaria ... Bela ... Azazi ... Shema
Haya ni majina ya wanaume
# Aroeri ... Nebo ... Baali Meoni
Haya ni majina ya miji

4
1ch/05/10.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Wahagiri
Haya ni majina makundi ya watu.

8
1ch/05/11.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Saleka
Hili ni jina la mji
# Yoeli ... Shafamu ... Yanai ... Shafati ... Mikaeli ... Meshulamu ... Sheba ... Yorai ... Yakani ... Zia ... Eberi
Haya ni majina ya wanaume

4
1ch/05/14.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Abihaili ... Huri ... Yaroa ... Gileadi ... Mikaeli ... Yeshishai ... Yado ... Buzi ... Ahi ... Abdieli ... Guni
Haya ni majina ya wanaume

16
1ch/05/16.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Waliishi
"Kabila la shule liliishi"
# nchi za malisho
maeno wanyama wanayo kula nyasi
# Hawa wote waliorodheshwa katika nakaka za uzao
"Nakala za uzao ziliwaorodhesha wote" au "Nakala zao familia za mababu ziliwaorodhesha"
# Hawa wote
Haiko wazi ni idadi gani ya watu walio tangulia imetajwa

20
1ch/05/18.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Warubeni
Hii ya husu watu kutoka kabila la Rubeni
# Wagadi
Hii ya husu watu kutoka kabila la Gadi
# wana jeshi elfu arobaini na nne
wana jeshi elfu nne** "44, 000 soldiers"
# walio beba ngao na upanga, na pinde na mishale
Wanajeshi wanaelezwa kama wenye ujuzi vitani kwa silaha walizo beba. "Walifunzwa kupambana vizuri vitani"
# Wahagri ... Yeturi ... Nafishi ... Nodabu
Haya ni majina ya makundi ya watu.

20
1ch/05/20.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Waisraeli walipaza sauti kwa Mungu
"Waisraeli walimuomba Mungu kwa sauti kwa ajili ya Msaada"
# Walikamata
"Waisraeli walikamata Wahagri"
# ngamia elfu hamsini
"ngamia 50,000"
# punda elfu mbili
"punda 2,000"
# Kwa sababu Mungu aliwapigania
Msaada wa Mungu waelezwa kama mwanajeshi aliye pigana vitani. "Kwasababu Mungu aliwasaidia"

8
1ch/05/23.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Baali Herimoni ... Seniri
Haya ni majina ya milima
# Eferi, Ishi, Elieli, Azrieli, Yeremia, Hodavia, na Yahdieli
Haya ni majina ya wanaume

16
1ch/05/25.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Puli ... Tiligathi Pileseri
Haya ni majina ya wanaume
# Warubeni ... Wagadi
Haya ni majina ya makundi ya watu
# Hala ... Habori ... Hara
Haya ni majina ya miji
# Gozani
Hili ni jina la mto

4
1ch/06/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Gerishoni ... Kohathi ... Merari ... Amramu ... Izhari ... Hebroni ... Uzieli ... Nadabu ... Abihu ... Eleazari ... Ithamari
Haya ni majina ya wanaume.

4
1ch/06/04.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Eleazari ... Abishua ... Buki ... Uzi ... Zerahia ... Meraioti
Haya ni majina ya wanaume.

4
1ch/06/07.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Meraioti ... Amaria ... Ahitubi ... Zadoki ... Ahimazi ... Yohanani
haya ni majina ya wanaume.

4
1ch/06/10.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Amaria ... Ahitubi ... Zadoki ... Shalumu
Haya ni majina ya wanaume.

8
1ch/06/13.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Hilikia ... Seraia ... Yehozadaki
Haya ni majina ya wanaume.
# wapeleka utumwani Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Nebukadneza.
Nguvu ya Nebukadneza kupitia jeshi lake inafafanuliwa kama sehemu ya mwili wake ("mkono") alitumika kuongoza jeshi lake. " aliruhusu jeshi la Nebukadneza kushinda majeshi ya Yuda na Yerusalemu na kuchukua watu kwenda matekani."

12
1ch/06/16.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Gershomi ... Kohathi ... Merari
Ona jinsi ulivyo tafsiri haya majina 6:1
# Libni ... Shimei
Haya ni majina ya wanaume
# Amramu ... Izhari ... Hebroni ... Uzieli
Ona jinsi ulivyo tafsiri haya majina 6:1

4
1ch/06/19.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Merari ... Mahili ... Mushi ... Yahathi ... Zima ... Yoa ... Ido ... Zera ... Yeatherai ...
Haya ni majina ya wanaume

4
1ch/06/22.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Aminadabu ... Kora ... Asiri ... Elikana ... Ebiasa ... Tahathi ... Urieli ... Uzia ... Shauli
Haya ni majina ya wanaume

4
1ch/06/25.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Elikana ... Amasai ... Ahimothi ... Zofai ... Nahathi ... Eliabu .. Yerohamu
Haya ni majina ya wanawake

8
1ch/06/28.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Yoeli ... Merari ... Mahli ... Libni ... Shimei ... uza ... Shimea ... Hagia ... Asaia
Haya ni majina ya wanaume
# mzaliwa wa pili
"wana wa pili kuzaliwa"

12
1ch/06/31.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# sanduku kuja hapo
"watu wa Israeli walieka sanduku kule"
# hema, hema la kukutania
Maana kadha ni 1) kwamba "hema la kukutania" la eleza jina lingine la "maskani" (UDB) au 2) "eneo takatifu la hema la kukutani"
# Walikamilisha wajibu wao kwa kadiri ya maelekezo waliopewa
"Waimbaji walitii maelekezo ya Daudi"

20
1ch/06/33.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Hawa
"Hawa walikuwa wana muziki"
# Wakohathi
Hili ni jina la kundi la watu
# kurudi nyuma ya wakati
Hii ina maana orodha inaenda kutokana na wa hivi karibuni na wa zamani.
# Hemani ... Yerohamu ... Elieli ... Toa ... Zufi ... Mahathi
Haya ni majina ya wanaume.
# Elikana ... Amasai
Ona jinsi ulivyo tafsiri haya majina ya hawa wanaume 6:25

4
1ch/06/36.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Tahathi ... Asiri ... Ebiasa .. Izhari ... kohathi
Haya ni majina ya watu

12
1ch/06/39.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Berekia ... Shimea ... Mikaeli ... Baaseia ... Malikiya ... Ethani ... Zima ... Shimei Yahathi ... Gerishomu
Haya ni majina ya watu
# Msaidizi
"mfanya kazi mwenza"
# aliye simama mkono wake wa kuume
Mamlaka ya mtu yaelezwa kama kwa wapi wanapo simama. Mkono wa kulia wa mtu ni sehemu mtu mwenye mamlaka alisimama.

8
1ch/06/44.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# mkono wa koshoto wa Heman
"Kusimama mkono wa kushuto wa Hemani"
# Msaidizi
"Mfanya kazi mwenza"

4
1ch/06/48.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Walawi, alipangiwa kufanya
"Ilikuwa ni kazi ya wafanya kazi wenza, Walawi, kufanya"

4
1ch/06/49.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# izi sadaka zilifanya maombezi kwa ajili ya Waisraeli
"Hizi sadaka zilikuwa za kufanya maombezi kwa dhambi za watu wa Israeli"

4
1ch/06/50.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Uzao wa Aruni una kumbukwa kama ifuatavyo
"Hawa walikuwa uzao wa Aruni"

20
1ch/06/54.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,20 @@
# Hizi ni sehemu ambazo wazao wa Aruni walipangiwa kuishi, wazao wa Aruni ambao walitoka katika koo za Wakohathi (maeneo ya kwanza yalikuwa yao)
"Haya ndiyo maeno ambayo uzao wa Aruni, koo za Wakohathi, waliishi (kura zilpigwa kujua wapi wataishi)"
# Wakohathi
Ona jinsi ulivyo tafsiri 6:33
# Walipewa Hebron
"Waliwapatia Hebroni kuwa yao"
# lakini maeneo ya mji na vijiji alipewa Kalebu mwana wa Yefune
"Kalebu na familia yake walienda kuishi kwenye mashamba ya Hebroni na vijiji vizungukavyo"
# nchi ya malisho
Hii ni sehemu ya nyasi ambapo wanyama wanakula.

4
1ch/06/59.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Jumla ya miji yao ilikuwa kumi na tatu
"Walikuwa na jumla ya miji kumi na tatu"

8
1ch/06/61.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Gerishomu kwa koo zao tofauti walipewa miji kumi na tatu
"Koo za Gerishomu uzao wake ulipata miji 13"
# Kohathi ... Gerishomu
Ona jinsi ulivyo tafsiri 6:1

8
1ch/06/63.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Merari
Ona jinsi ulivyo tafsiri 6:1
# miji iliyo tajwa awali kutoka
"hiyo miji kutoka"

4
1ch/06/66.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Wakohathi
Ona jinsi ulivyo tafsiri 6:33

4
1ch/06/71.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# Gerishomu
Ona jinsi ulivyo tafsiri 6:1

16
1ch/06/77.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Merari
Ona jinsi ulivyo tafsiri 6:1
# Merari ... nchi ya malisho
"kabila la Zebuluni ili wapa uzao wa Merari Rimono na nchi yake yamalisho na Tabori na nchi yake ya Malisho"
# Kwa wao pia walipewa ... kabila la Rubeni
Maelezo katika 6:77 yamepangiliwa tena ili maana yake iweze kueleweka kwa uraisi.
# Kwa wao pia walipewa
"Pia walipata zaidi"

8
1ch/07/01.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# walikua na idadi ya 22,600
"Walikuwa wanaume elfu ishirini na mbili na mia sita"
# Katika siku za Daudi
"kipindi cha maisha ya Daudi

8
1ch/07/04.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Pamoja nao walikua na
"Miongoni mwao walikuwa"
# jeshi la watu elfu thelathini na sita kwa mapambano
wana jeshi elfu sita kwa pambano** - "wana jeshi 36,000 walio kuwa tayari kwa pambano"

4
1ch/07/06.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,4 @@
# waanzilishi
"baba" au "mababu"

12
1ch/07/11.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,12 @@
# Yedieli ... Iri ... Aheri
Haya ni majina ya wanawake
# Waliorodheshwa katika ukoo orodha ilikuwa 17,200
"Orodha ya ukoo ilikuwa na elfu kumi na saba na mia mbili"
# Shupimu ... Hupimu ... Hushimu
Haya ni majina ya wanaume

8
1ch/07/13.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Yazieli, Guni, Yezeri, na Shalumu
Haya ni majina ya wanaume
# wajukuu wa Bilhahi
"wana wa wana wa Bilhahi"

8
1ch/07/14.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Waarami
Hii yaeleza mtu wakutoka Aramu, eneo la Syria
# suria wake wa Kiaramia alimzalia
"Suria wa Kiaramia alimza"

8
1ch/07/20.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# Eza na Eleadi waliuawa na wanaume wa Gati, wenyeji wa nchi
"Wanaume wa Gathi, wenyeji wa nchi, waliwaua Eza na Eleadi"
# walipoenda kuiba mifugo yao
"ndugu walienda kuiba mifugo kutoka kwa watu wa Gathi"

16
1ch/07/23.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Akapata mimba akamzaa mwana
"Alishika mimba na kuzaa mwana"
# akamuita
"alimpa jina"
# Beria ... Sheera
Haya ni majina ya watu
# juu na chini Beth Horon na Uzzen Sheerah
Haya ni majina ya sehemu.

8
1ch/07/28.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# makazi yao yalikuwa
"nyumbani kwao kulikuwa"
# atika huu mji waliishi uzao wa Josefu mwana wa Israeli
"Uzao wa Yusufu, mwana wa Israeli, waliishi kwenye hii miji"

8
1ch/07/39.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,8 @@
# wananume wa kipekee
"wanaume muhimu"
# Kulikuwa na wanaume elfu ishirini na sita walioorodheshwa waliokuwa imara kwa kazi ya jeshi, kwa mujibu wa idadi iliyo orodheshwa
wanaume elfu sita waliorodhesha walikuwa tayari kwa ajili ya kazi ya jeshi, kwa mujibu wa idadi ya orodha* "Kwa mujibu wa nakala za koo, walikuwa 26,000 wanaume wanao weza kutumika kwenye jeshi.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More