sw_tn/psa/062/003.md

28 lines
589 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nyie wote
"adui zangu" au "adui zangu wote"
# Hadi lini ... utamshambulia mtu ... au ua inayotikisika?
Hakuna mtu anayetarajiwa. "Inaonekana kama adui zangu hawataacha kunishambulia. Nijishisi kuwa myonge dhidi yako kama ukuta ulioegemea au ua uliovunjika."
# utamshambulia mtu
"utanishambulia"
# Watashauriana naye ili
Wanakusudia" au "Wanapanga"
# Watashauriana naye ... kumletachini ... wanambariki ... mlaani
Katika mistari hii, Daudi alieleza mwenyewe kama mtu mwingine.
# kwa midomo yao
Hii inamaanisha hotuba ya maneno yao.
# mioyoni mwao
Hii inamaanisha mawazo yao.