sw_tn/psa/018/016.md

8 lines
248 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Akafika chini ... akanishika ...Akanivuta
Anayezungumziwa hapa ni Yahwe.
# maji yaliyokuwa yakienda mbele
Hapa mwandishi wa zaburi anazungumzia hatari ya adui zake kana kwamba walikuwa mawimbi makubwa au maji ya nguvu, ambapo Yahwe alimwokoa.